Leobini
Leobini (kwa Kifaransa: Lutiti; Poitou, karne ya 5 - Chartres, 14 Machi 557[1]) alikuwa askofu wa mji huo, leo nchini Ufaransa, katikati ya karne ya 6[2].
Baada ya kuchunga mifugo na kulima alijifunza kusoma akajiunga na monasteri, lakini wakati mwingine aliishi kama mkaapweke. Pia aliteswa na Wafaranki. Hatimaye akawa shemasi na abati kabla ya kufanywa askofu mwaka 544[3].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ Watkins, Basil (2015). The Book of Saints: A Comprehensive Biographical Dictionary (kwa Kiingereza). Bloomsbury Publishing. ISBN 978-0-567-66415-0. Iliwekwa mnamo 16 Mei 2020.
{{cite book}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ (Kifaransa) Histoire générale, civile et religieuse de la cité des Carnutes et du pays Chartrain, Michel-Jean-François Ozeray, Chartres 1836
- ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/45330
- ↑ Martyrologium Romanum
Viungo vya nje
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
- (Kifaransa) Saint Lubin
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |