Kaliniko na Basilisa
Kaliniko na Basilisa (walifariki katika mkoa wa Galatia, leo nchini Uturuki, 252) walikuwa Wakristo ambao walikatwa kichwa[1] kutokana na imani yao wakati wa dhuluma ya Dola la Roma[2].
Kabla ya kukamatwa walikuwa wakishirikiana kusaidia waumini waliokwishakamatwa na serikali[1].
Pengine Kaliniko anatajwa kama mwanamke, lakini si kweli[3].
Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ 1.0 1.1 Dunbar, Agnes B.C. (1901). A Dictionary of Saintly Women. Juz. la Volume 1. London: George Bell & Sons. uk. 141.
{{cite book}}
:|volume=
has extra text (help) - ↑ The Book of Saints. London: Aeterna Press. 2015.
- ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/46480
- ↑ Martyrologium Romanum
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |