Kalisti Caravario

Kalisti Caravario, S.D.B. (Cuorgnè, Italia, 8 Juni 1903 - Litouzui, China, 25 Februari 1930) alikuwa padri mmisionari wa Kanisa Katoliki kutoka shirika la Wasalesiani aliyefia dini yake nchini China.

Picha yake halisi.

Anaheshimiwa na Kanisa hilo kama mtakatifu mfiadini tangu tarehe 1 Oktoba 2000, alipotangazwa na Papa Yohane Paulo II pamoja na wenzake 119 maarufu kama wafiadini wa China.

Kabla ya hapo alitangazwa naye kuwa mwenye heri tarehe 15 Mei 1983.

Tazama piaEdit

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kalisti Caravario kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.