Kamena ni kata ya Wilaya ya Geita katika Mkoa wa Geita, Tanzania. Msimbo wa posta ni 30111.

Kamena ni eneo moja kubwa la kata hiyo ambayo kwa sasa inaundwa na vijiji vya Kamena, Nyabulolo, Nyashihima, Bushishi, Ndelema na Imalampaka.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi wa kata walihesabiwa kuwa 14,8111 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 21,700 waishio humo.[2]

Wakazi wa kata ya Kamena ni wakulima na wafugaji; mazao makuu yanayolimwa ni pamoja na pamba, mpunga, mahindi, mihogo na viazi vitamu.

Marejeo hariri

  Kata za Wilaya ya Geita Vijijini - Mkoa wa Geita - Tanzania  

Bugalama | Bugulula | Bujula | Bukoli | Bukondo | Busanda | Butobela | Butundwe | Chigunga | Isulwabutundwe | Izumacheli | Kagu | Kakubilo | Kamena | Kamhanga | Kaseme | Katoma | Katoro | Lubanga | Ludete | Lwenzera | Magenge | Nkome | Nyachiluluma | Nyakagomba | Nyakamwaga | Nyalwanzaja | Nyamalimbe | Nyamboge | Nyamigota | Nyamwilolelwa | Nyarugusu | Nyaruyeye | Nyawilimilwa | Nzera | Rwamgasa | Senga


  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Geita bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.