Nkome ni kata ya Wilaya ya Geita katika Mkoa wa Geita, Tanzania. Msimbo wa posta ni 30119.[1]

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi wa kata walihesabiwa kuwa 43,768 [2]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 32,726 waishio humo.[3]

Ndani ya kata hii kuna taasisi mbalimbali ikiwemo Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha Rubondo (ing. Rubondo Island National Park). Hifadhi hiyo ni ya eneo la kisiwa na maji kilichozungukwa nayo: ni hifadhi ambayo ndani yake kuna samaki wengi, viboko, mamba na ndege wa aina mbalimbali; pia ndani ya hifadhi hiyo kuna maua ya aina mbalimbali na bustani nzuri za asili.

Marejeo hariri

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-08-05. Iliwekwa mnamo 2018-02-01. 
  2. https://www.nbs.go.tz, uk 225
  3. Sensa ya 2012, Geita Region – Geita District Council

Viungo vya Nje hariri

  Kata za Wilaya ya Geita Vijijini - Mkoa wa Geita - Tanzania  

Bugalama | Bugulula | Bujula | Bukoli | Bukondo | Busanda | Butobela | Butundwe | Chigunga | Isulwabutundwe | Izumacheli | Kagu | Kakubilo | Kamena | Kamhanga | Kaseme | Katoma | Katoro | Lubanga | Ludete | Lwenzera | Magenge | Nkome | Nyachiluluma | Nyakagomba | Nyakamwaga | Nyalwanzaja | Nyamalimbe | Nyamboge | Nyamigota | Nyamwilolelwa | Nyarugusu | Nyaruyeye | Nyawilimilwa | Nzera | Rwamgasa | Senga


  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Geita bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.