Kanio wa Atella alikuwa askofu akafia imani ya Kikristo wakati wa dhuluma ya kaisari Dioklesyano[1].

Altare yake katika kanisa kuu la Acerenza, Italia Kusini.

Inasemekana alitokea Karthago, leo nchini Tunisia, akaishia Atella (leo Sant'Arpino, Caserta, Italia Kusini)[2].

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini[3][4].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 25 Mei[5].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/90990
  2. Francesco Lanzoni, Le origini delle diocesi antiche d'Italia: studio critico, Volumi 35-36, Tip. Poliglotta Vaticana, 1923
  3. AA. VV., Raccolta Rassegna Storica dei Comuni, vol. 30, 2016
  4. Pina Belli D'Elia, Clara Gelao, La Cattedrale di Acerenza: mille anni di storia, Edizioni Osanna, 1999
  5. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.