Karne ya 17 KK
karne
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Milenia ya 3 KK |
Milenia ya 2 KK |
Milenia ya 1 KK |
►
◄ |
Karne ya 19 KK |
Karne ya 18 KK |
Karne ya 17 KK |
Karne ya 16 KK |
Karne ya 15 KK |
►
Karne ya 17 KK (= kabla ya Kristo) ni kipindi cha miaka mia kuanzia tarehe 1 Januari 1700 KK na kuishia tarehe 31 Desemba 1601 KK.
Matukio
hariri- 1700 KK hivi: ustaarabu wa bonde la Indus (mto) unakoma lakini unaendelezwa na ustaarabu wa Cemetery H
- 1700 KK: Belu-bani anakuwa mfalme wa Assyria.
- 1700 KK hivi: katika Ugiriki wa Kale, ustaarabu wa Minoa unaingia kipindi kipya (baada ya Old Palace period, Second Palace period inaanza.
- 1700 KK hivi: mwanzo wa ustaarabu wa mwisho wa Minoa kisiwani Krete (leo Ugiriki).
- 1700 KK hivi: masonara wa ustaarabu wa bahari ya Egei wanashindana na wale wa Mashariki ya Kati, wakiiga mbinu zao.
- 1700 KK hivi: Lila-Ir-Tash anaanza kutawala Dola la Elami (leo Iran).
Watu muhimu
hariri
Viungo vya nje
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Karne ya 17 KK kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |