Kastori wa Karden (kwa Kijerumani Kastor von Karden; alifariki 400 hivi) alikuwa padri na mkaapweke wa karne ya 4 kutoka Akwitania, leo nchini Ufaransa.

Sanamu ya Mt. Kastori huko Karden.

Mwanafunzi wa Maksimino wa Trier mnamo mwaka 345 hivi[1] alipewa naye upadrisho.

Hapo alifanya maskani yake Karden kwenye mto Moselle pamoja na wamonaki kadhaa.

Alifariki huko akiwa mzee sana.[2]

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 13 Februari[3].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. "Kastor van Karden". Heiligen-3s. n.d. Iliwekwa mnamo Machi 27, 2009.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Heiliger Kastor von Karden". Kirchensite.de. n.d. Iliwekwa mnamo Machi 27, 2009.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.