Katsina (jimbo)

(Elekezwa kutoka Katsina State)

Katsina ni jimbo la kujitawala katika kaskazini ya Nigeria. Mji mkuu ni Katsina.

Mahali pa jimbo la Katsina katika Nigeria

Katsina ni kati ya majimbo ya Nigeria ya Kaskazini yaliyotangaza shari'a ya Kiislamu kuwa sheria ndani ya jimbo.


 
Majimbo ya Nigeria
Abia | Abuja Federal Capital Territory | Adamawa | Akwa Ibom | Anambra | Bauchi | Bayelsa | Benue | Borno | Cross River | Delta | Ebonyi | Edo | Ekiti | Enugu | Gombe | Imo | Jigawa | Kaduna | Kano | Katsina | Kebbi | Kogi | Kwara | Lagos | Nasarawa | Niger | Ogun | Ondo | Osun | Oyo | Plateau | Rivers | Sokoto | Taraba | Yobe | Zamfara
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Katsina (jimbo) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.