Kimo (pia Kiwakde) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wamo kwenye kisiwa cha Wakde.

Mwaka wa 2005 idadi ya wasemaji wa Kimo imehesabiwa kuwa watu 550 tu. Kwa vile watoto hawafundishwi lugha hiyo, na Wamo wengi hutumia Kimalay ama Kimalay ya Papua badala ya lugha yao, Kimo inakaribia kutoweka kabisa hivi karibuni.

Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimo iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimo (lugha) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.