Kimochi (Moshi Vijijini)
Kimochi ni kata ya Wilaya ya Moshi Vijijini katika Mkoa wa Kilimanjaro, Tanzania.
Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 16,046 [1]. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 13,562 [2] walioishi humo. Msimbo wa posta ni 25202.
Kuna vijiji 6 ambavyo ni: Sango, Shia, Mdawi, Mowo, Lyakombila na Kisaseni.
Kuna Chama cha Ushirika wa Akiba na Mikopo cha Umoja ( UMOJA SACCOS (2006) LTD). Ni taasisi ya fedha ya kijamii iliyopo kijiji cha Kameti, jirani na Kanisa katoliki la Mt. Athanas Molla
Marejeo
hariri- ↑ https://www.nbs.go.tz
- ↑ "Sensa ya 2012, Kilimanjaro - Moshi DC" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2004-01-02. Iliwekwa mnamo 2016-05-28.
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Kilimanjaro bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kimochi (Moshi Vijijini) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
|