Kisango
Kisango (au Kisangho) ni krioli ya Afrika ya Kati ambayo ni lugha kuu na lugha rasmi ya nchi hiyo.
Imetokana na Kingbandi cha Kaskazini, katika jamii ya lugha za Niger-Kongo. Hivyo ni krioli isiyotokana na lugha za Kizungu, ingawa imekopa maneno mengi kutoka Kifaransa.
Mwaka 1988 ilikuwa lugha mama ya watu 450,000, na lugha ya pili kwa 1,600,000. Inatumika pia katika sehemu za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Chad.
Viungo vya nje
hariri- Online Sango English French Dictionary
- Sangonet.com Archived 16 Juni 2013 at the Wayback Machine.
- Established French loanwords in Sango
- A site in Sango – Yângâ tî Sangho tî Bêafrîka
- Sango lessons in French
- Sango computer terminology
- PanAfrican L10n page on Sango
- Resources in and about the Sango language Archived 3 Julai 2014 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kisango kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |