Kisiwa cha Habibas

Visiwa vya Algeria

Kisiwa cha Habibas (kwa [Kiarabu]: جزر حبيبة) ni kisiwa kinachopatikana umbali wa kilometa 12 kutoka pwani ya nchi ya Algeria Kaskazini Mashariki mwa eneo la Oran. Kina eneo lenye ukubwa wa hekta arobaini [1] na mwinuko wa juu kabisa katika kisiwa hiki ni mita 105 juu ya UB, ni kisiwa chenye asili ya Volkano.

Habibas ni kisiwa ambacho hakina makazi ya kudumu ya binadamu na kinapatikana ndani ya jimbo la Ain Temouchent.

Mwaka 1879 ndani ya kisiwa hicho palianzwa kujengwa [miji] midogo kama [Jetty], pamoja na Mnara wa taa, malengo makubwa ya kuutunza mji huu ni kwa ajili ya hifadhi uasilia wa bahari na kisiwa hiki.

Mwaka 2006 serikali ya Algeria pamoja na Ufaransa walikuja na mpango maalumu wa kukitunza kisiwa kwa ajili ya biashara, mpango ambao ulifadhiliwa na serikali ya Ufaransa.[2]

Picha hariri

Marejeo hariri

  1. http://www.algeria.com/blog/iles-habibas-marine-nature-reserve
  2. Archived copy. Jalada kutoka ya awali juu ya 2013-12-03. Iliwekwa mnamo 2021-06-05.
  Makala hii kuhusu maeneo ya Algeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kisiwa cha Habibas kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.