Kisiwani
Kisiwani ni neno la kumaanisha eneo la kisiwa ama baharini au ziwani hadi mtoni.
Kwa maana maalumu neno hili linaweza kutaja
- Kisiwani (Muheza) - kata ya Wilaya ya Muheza - Mkoa wa Tanga - Tanzania
- Kisiwani (Same) - kata ya Wilaya ya Same - Mkoa wa Kilimanjaro - Tanzania
- Kisiwani (Wete) - kata ya Wilaya ya Wete - Mkoa wa Pemba Kaskazini - Tanzania