Kiyowela ni kijiji ambacho kimekuwa kata ya Wilaya ya Mufindi katika Mkoa wa Iringa, Tanzania, yenye Postikodi namba 51422.

Katika sensa iliyofanyika mwaka 2022 wakazi walihesabika kuwa 4,678 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 7,540 waishio humo.[2]

Makabila ya watu wanaoishi katika kijiji hicho ni Wahehe, ambao ndio kabila lenye watu wengi zaidi wenyeji wa mkoa wa Iringa, halafu Wabena kutoka Njombe na Wakinga kutoka wilaya ya Makete.

Marejeo hariri

  Kata za Wilaya ya Mufindi - Tanzania  

Idete | Idunda | Ifwagi | Igombavanu | Igowole | Ihalimba | Ihanu | Ihowanza | Ikongosi | Ikweha | Itandula | Kasanga | Kibengu | Kiyowela | Luhunga | Maduma | Makungu | Malangali | Mapanda | Mbalamaziwa | Mdabulo | Mninga | Mpanga Tazara | Mtambula | Mtwango | Nyololo | Sadani


  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Iringa bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kiyowela kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.