Kolomba wa Cordoba

Kolomba wa Cordoba (alifariki Cordoba, Hispania, 853 hivi) alikuwa mtawa bikira aliyeuawa kwa kukatwa kichwa na Waislamu waliotawala nchi hiyo[1][2].

Sanamu yake huko Arceniega, Hispania.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 17 Septemba[3].

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

Viungo vya njeEdit

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.