Konstantino wa Karthago
Konstantino wa Karthago alikuwa askofu wa mji huo wa Afrika Kaskazini (Tunisia ya leo) alipoteseka kwa ajili ya imani yake.
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.
Tazama pia
haririTanbihi
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |