Korentino

Picha takatifu ya kisasa.

Korentino (375 hivi - 12 Desemba 453), kadiri ya mapokeo, alikuwa askofu wa Quimper ([Bretagne]].

MaishaEdit

Habari zake zinapatikana katika Maisha ya Mtakatifu Korentino yaliyoandikwa miaka 1220-1235.

Baada ya kuwa mkaapweke huko Plomodiern, mfalme Gradlon aliamua kuanzisha jimbo huko Quimper akamteua Korentino awe askofu wa kwanza. Hivyo akamtuma Tours apewe daraja takatifu na Martino.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 12 Desemba.

Tazama piaEdit

MarejeoEdit

Viungo vya njeEdit


  Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Korentino kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.