Kronide, Leonsi na Serapioni

Kronide, Leonsi na Serapioni (walifariki mwishoni mwa karne ya 3 au mwanzoni mwa karne ya 4) walikuwa Mkristo wa Misri waliotoswa baharini kwa ajili ya imani yao wakati wa dhuluma ya kaisari Maximian[1].

Wanaheshimiwa na Kanisa Katoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao inaadhimishwa kila mwaka tarehe 12 Septemba[2].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.