Kifodini cha Mt. Cucuphas (Ayne Bru, 1504-1507)

Kukufas (pia: Qaqophas[1]; 269- 304) alikuwa shemasi (kutoka Scillium, Tunisia) aliyekwenda kuinjilisha eneo la Barcelona akauawa kwa kukatwa shingo huko Sant Cugat del Valles (leo nchini Hispania) wakati wa dhuluma ya kaisari Diokletian wa Dola la Roma.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake na ya wenzake huadhimishwa tarehe 25 Julai.

Tazama piaEdit

PichaEdit

TanbihiEdit

  1. His name is said to be of Phoenician origin with the meaning of "he who jokes, he who likes to joke." Santi, beati e testimoni - Dizionario dei nomi

Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kukufas kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.