Kwarto na Kwinto (walifariki Roma, karne ya 4) walikuwa Wakristo wa Roma ya Kale ambao waliuawa kwa ajili ya imani yao na kuzikwa karibu na wafiadini Gordiani na Epimaki[1].

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakristo wa madhehebu mbalimbali kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 10 Mei[2].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.