Kwintino wa Vermand

(Elekezwa kutoka Kwintino mfiadini)

Kwintino wa Vermand (kwa Kifaransa: Quentin; Roma, Italia, karne ya 3Vermand, Ufaransa, 287 hivi) aliwahi kuwa na vyeo muhimu, kama vile seneta wa Dola la Roma, halafu akawa mmisionari huko Galia, na hatimaye alifia Ukristo wakati wa dhuluma ya kaisari Masimiani[1].

Kifodini cha Mt. Kwintino kilivyochorwa na Jacopo Pontormo.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 31 Oktoba[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.