Kwintino wa Vermand
Kwintino wa Vermand (kwa Kifaransa: Quentin; Roma, Italia, karne ya 3 – Vermand, Ufaransa, 287 hivi) aliwahi kuwa na vyeo muhimu, kama vile seneta wa Dola la Roma, halafu akawa mmisionari huko Galia, na hatimaye alifia Ukristo wakati wa dhuluma ya kaisari Masimiani[1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.
Tazama pia
haririTanbihi
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |