Lamu (maana)
Lamu ni neno la kutaja mahali pafuatapo katika Kenya:
- Lamu (mji) - ni kati ya miji ya kale sana ya Waswahili kwenye pwani ya Afrika ya Mashariki; uko kwenye orodha ya UNESCO ya "Urithi wa Dunia"
- Lamu (kisiwa) ni kisiwa chenye mji wa Lamu
- Lamu (funguvisiwa) ni funguvisiwa lenye visiwa vya Lamu, Pate, Manda, Kimayu na vingine
- Lamu (wilaya) ilikuwa wilaya ya kiutawala wa Jamhuri ya Kenya iliyounganisha funguvisiwa pamoja na sehemu za bara jirani nayo
- Kaunti ya Lamu ndiyo sehemu ya utawala tangu mwaka 2010