Landrada
Landrada (karne ya 7; Ubelgiji, 690/708[1][2]) alikuwa mwanamke wa ukoo wa kifalme ambaye, baada ya kukataa kuolewa, kwa msaada wa askofu Lambati wa Maastricht, alianzisha monasteri katika eneo la Ubelgiji wa leo [3] akaiendesha kama abesi hadi kifo chake[4].
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ Dunbar, Agnes B.C. (1901). A Dictionary of Saintly Women. Juz. la 1. London: George Bell & Sons. uk. 455.
- ↑ Baring-Gould, p. 191
- ↑ Mulder-Bakker, Anneke B. (2002). "Saints without a Past: Sacred Places and Intercessory Power in Saints' Lives from the Low Country". Katika Mulder-Bakker, Anneke B. (mhr.). The Invention of Saintliness. New York: Taylor & Francis. ku. 38–39. ISBN 0-415-26759-5.
- ↑ https://www.santiebeati.it/dettaglio/61230
- ↑ Martyrologium Romanum
Marejeo
hariri- Baring-Gould, Sabine (1914). The Lives of the Saints (tol. la 7th). London: J. Hodges. ku. 191–193. Iliwekwa mnamo 30 Mei 2023.
{{cite book}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |