Lanfranko wa Pavia

Lanfranko wa Pavia (Gropello, 1134 hivi - 23 Juni 1198) anakumbukwa kama askofu wa mji huo (Italia Kaskazini) kuanzia mwaka 1181.

Mt. Lanfranko kati ya Wat. Yohane Mbatizaji na Liberi.

Aliteseka sana kwa ajili ya kurusdisha amani kati ya wananchi [1].

Hatimaye aling'atuka na kwenda kuishi katika monasteri ya Wabenedikto Wavalombrosa alipofariki.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake.[2]

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. https://www.santiebeati.it/dettaglio/59050
  2. Martyrologium Romanum

Marejeo

hariri
  • Gualtiero Tacchini, San Lanfranco Beccari, vescovo di Pavia (1180-1198), Pavia 1998.
  • Maria Pia Alberzoni, Lanfranco di Pavia, un vescovo quasi santo, in Ead., Città, vescovi e papato nella Lombardia dei Comuni, Novara, Edizioni Interlinea, 2001, pp. 137-171.
  • Vittorio Lanzani, Cronache di miracoli. Documenti del XIII secolo su Lanfranco vescovo di Pavia, Milano, Cisalpino, 2007 (Biblioteca della Società Pavese di Storia Patria, ser. 3, n. 3).
  • Claudio Maresca, «Se quasi Christi martyrem exhibebat». La leggenda agiografica di san Lanfranco vescovo di Pavia (†1198), Premessa di Vittorio Lanzani, Roma, Edizioni di storia e letteratura, 2011 (Quaderni dell'Archivio italiano per la storia della pietà, 1): edizione riveduta e aggiornata del contributo apparso in «Archivio italiano per la storia della pietà», vol. XXII (2009), pp. 9–166.
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.