Lea (לֵאָה|Le'a|Lēʼā) ni jina la mzizi wa kibiblia lenye maana ya ng'ombe pori katika lugha ya Kiebrania katika kitabu cha Mwanzo katika Biblia.

Kaburi la Lea, 1911.

Lea ni dada wa Raheli.

Lea aliolewa na Yakobo Israeli na kuwa mama wa watoto sita wa kiume: Reubeni, Simeoni, Lawi, Yuda, Isakari, Zebuluni, pamoja na binti, jina lake Dina.

Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lea kama habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.