Leo wa Mantenay (pia: Lyé; alifariki Mantenay-sur-Seine, karibu na Troyes, leo nchini Ufaransa, 550 hivi) alikuwa mmonaki aliyepata kuwa abati wa monasteri ya Mantenay-sur-Seine baada ya mwanzilishi wake, Romano kufanywa askofu wa 16 wa Reims[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 25 Mei[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.