Leotaldi
Leotaldi (pia: Leothadius, Leotaldo, Léothade; karne ya 7 - 718 hivi) alikuwa askofu wa Auch [1], leo nchini Ufaransa, kuanzia mwaka 691 hadi kifo chake.
Kabla ya hapo alikuwa mmonaki, halafu (670) abati wa monasteri wa Moissac[2].
Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu.
Tazama pia
haririTanbihi
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |