Liberali wa Roma (alifariki Roma, Italia, 269 hivi) alikuwa konsuli wa Dola la Roma ambaye aliongokea Ukristo na kuacha siasa na anasa.

Mt. Liberali.

Hatimaye aliuawa kwa ajili ya imani yake katika dhuluma ya kaisari Klaudio Mgoti[1][2].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake ni tarehe 20 Desemba[3].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.