Liberata na Faustina

Liberata na Faustina (walifariki Como, Lombardia, 580 hivi), walikuwa dada wawili mabikira Wakristo walioishi pamoja kitawa na kuanzisha monasteri ya Mt. Margerita huko Como, Italia Kaskazini[1] baada ya kukataa kuolewa[2].

Wat. Faustina, Marselo na Liberata, mchoro wa ukutani katika kanisa la Capo di Ponte.

Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu[3].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 19 Januari [4].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.