Lidano
Lidano (Antinum, 1026 - Monte Cassino, 1118[1] ) alikuwa abati Mbenedikto anayesifiwa kwa kukausha madimbwi ya Lazio kusini, Italia, na kwa kuanzisha[2] monasteri ya Sezze katika Dola la Papa.
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.
Tazama piaEdit
TanbihiEdit
- ↑ Saint Lidanus. Jalada kutoka ya awali juu ya 2010-07-07. Iliwekwa mnamo 2017-10-24.
- ↑ St. Lidanus. Catholic.org. Iliwekwa mnamo 6 July 2009.