Lina Hurtig

mchezaji mpira wa sweden

Lina Mona Andréa Hurtig (alizaliwa Septemba 5, 1995)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu Mswidi anayecheza kama mshambuliaji Katika klabu ya Arsenal ya Ligi ya Wanawake(WSL) na pia timu ya taifa ya Uswidi[2]

Mwanasoka Lina Hurtig
Mwanasoka Lina Hurtig akicheza dhidi ya Liverpol mnamo 2023

Marejeo hariri

  1. "Wayback Machine". web.archive.org. 2019-06-06. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-06-06. Iliwekwa mnamo 2021-12-17. 
  2. "Lina HURTIG". Olympics.com. Iliwekwa mnamo 2021-12-17.