Lorcán Ua Tuathail
Lorcán Ua Tuathail (pia: Laurence O'Toole; Castledermot, 1128 – Eu, 14 Novemba 1180[1][2]) alikuwa askofu mkuu wa Dublin, Ireland [3], wakati kisiwa hicho kilipovamiwa na Wanormani.
Katikati ya matatizo makubwa ya kipindi hicho cha vurugu, alichangia sana urekebisho wa Kanisa la huko kwa kupigania kwa nguvu zote nidhamu [4] pamoja na kupatanisha wenyeji na wavamizi. Alifariki akiwa safarini kumuendea mfalme Henri II wa Uingereza[5].
Tarehe 11 Desemba 1225 alitangazwa na Papa Honorius III kuwa mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 14 Novemba[6].
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ "Butler, Rev. Alban, "St. Lawrence, Confessor, Archbishop Of Dublin", The Lives or the Fathers, Martyrs and Other Principal Saints, Vol. III". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-11-16. Iliwekwa mnamo 2018-02-06.
- ↑ Grattan-Flood, William. "St. Lawrence O'Toole." The Catholic Encyclopedia. Vol. 9. New York: Robert Appleton Company, 1910. 20 Feb. 2013
- ↑ "St. Lawrence O'Toole" Archived 18 Novemba 2012 at the Wayback Machine., Catholic News Agency
- ↑ "Dublin Diocese Jubilee Resource Material". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-12-03. Iliwekwa mnamo 2018-02-06.
- ↑ https://www.santiebeati.it/dettaglio/90998
- ↑ Martyrologium Romanum
Viungo vya nje
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |