Mexico (jimbo)
(Elekezwa kutoka México (jimbo))
Mexico (jimbo) ni moja kati ya majimbo ya Mexiko upande wa kati ya nchi. Lina eneo la km² 21,355.
Limepakana na Hidalgo, Querétaro, Tlaxcala, Puebla, Morelos, Guerrero na Michoacán.
Kunako mwaka wa 2005, idadi ya wakazi ilikuwa 14,007,495.
Mji mkuu ni Toluca ila mji mkubwa ni San Cristóbal Ecatepec.
Gavana wa jimbo ni Enrique Peña Nieto.
Miji mikubwa
hariri- San Cristóbal Ecatepec (1,688,258)
- Ciudad Nezahualcóyotl (1,136,300)
- Naucalpan (792,226)
- Toluca (747,512)
Viungo vya nje
hariri- (Kihispania) Estado de Mexico Sitio oficial Archived 31 Mei 2009 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mexico (jimbo) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |