Jimbo Katoliki la Iringa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Jimbo katoliki la Iringa''' (kwa Kilatini Dioecesis Iringaënsis) ni mojawapo kati ya majimbo 33 ya Kanisa Katoliki nchini Tanzania ...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 07:55, 6 Novemba 2011

Jimbo katoliki la Iringa (kwa Kilatini Dioecesis Iringaënsis) ni mojawapo kati ya majimbo 33 ya Kanisa Katoliki nchini Tanzania na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma.

Makao makuu yake yako Iringa katika mkoa wa Iringa, lakini linaenea pia katika mkoa wa Njombe na katika mkoa wa Mbeya.

Kikanisa linahusiana na jimbo kuu la Songea.

Askofu wake ni Tarcisius Ngalalekumtwa.

Historia

Uongozi

Takwimu

Eneo ni la kilometa mraba 43,318, ambapo kati ya wakazi 2,367,962 (2006) Wakatoliki ni 588,438 (24.9%).

Viungo vya nje