Mac Cairthinn wa Clogher

Mac Cairthinn wa Clogher (pia: Aedh, Aidus, McCartan, Macartan; alifariki 506) alikuwa askofu wa kwanza wa Clogher, Eire kuanzia mwaka 454[1].

Mt. Mac Cairthinn na Tigernach wa Clones katika dirisha la kioo cha rangi.

Inasemekana aliongokea Ukristo kwa juhudi za Patrick wa Ireland.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 24 Machi[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Vyanzo hariri

Marejeo mengine hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.