Maeneo ya Shirikisho la Urusi

Maeneo ya Shirikisho la Urusi ni maeneo yanayofanya kikatiba Shirikisho la Urusi. Maeneo haya ni kama majimbo au madola katika nchi nyingine ya shirikisho. Jina la Kirusi ni "субъекты федерации" (subyekti federatsii) inayoweza kutafsiriwa kama "nafsi za shirikisho" au "wanachama wa shirikisho".

Hali halisi yana viwango tofauti sana vya kujitawala kuhusu mammbo ya ndani ama kisiasa, kiuchumi au kiutamaduni. Lakini kila eneo la shirikisho lina wawakilishi 2 katika Halmashauri ya Shirikisho la Urusi ambayo ni kitengo cha juu cha bunge la Urusi.

Katiba ya Urusi inataja aina mbalimbali za maeneo ya shirikisho[1]:

Mwaka 1993 kulikuwa na maeneo mwanachama 89. Idadi hii ilipungua kuwa 83 kwenye mwaka kutokana na kuunganishwa kwa maeneo mbalimbali. Mwaka 2014 mji wa Sevastopol na Jamhuri ya Krim yalikuwa maeneo ya 84b na 85 ya Shirikisho la Urusi ingawa hatua hii haikubaliwa na umma wa kimataifa.

Orodha

hariri
 
Na.[2] Jina Mji mkuu
(Mji mkubwa kama si mji mkuu)
Bendera Nembo Kanda ya Shirikisho Kanda ya Uchumi Eneo (km2)[3] Wakazi[4] Mwaka wa kuundwa
01 Adygea Maykop     Kusini Kaukazi Kaskazini 7,600 447,109 1922
02 Bashkortostan Ufa     Volga Ural 143,600 4,104,336 1919
03 Buryatia Ulan-Ude     Siberia Siberia Mashariki 351,300 981,238 1923
04 Jamhuri ya Altai Gorno-Altaysk     Siberia Siberia Magharibi 92,600 202,947 1922
05 Dagestan Mahachkala     Kaukazi Kaskazini Kaukazi Kaskazini 50,300 2,576,531 1921
06 Ingushetia Magas
(Mji mkubwa: Nazran)
    Kaukazi Kaskazini Kaukazi Kaskazini 4,000 467,294 1992
07 Kabardino-Balkaria Nalchik     Kaukazi Kaskazini Kaukazi Kaskazini 12,500 901,494 1936
08 Kalmykia Elista     Kusini Volga 76,100 292,410 1957
09 Karachaevo-Cherkesia Cherkessk     Kaukazi Kaskazini Kaukazi Kaskazini 14,100 439,470 1957
10 Karelia Petrozavodsk   Faili:Coat of Arms of Jamhuri ya Karelia.svg Kaskazini Magharibi Kaskazini 172,400 716,281 1956
11 Jamhuri ya Komi Syktyvkar     Kaskazini Magharibi Kaskazini 415,900 1,018,674 1921
12 Mari El Yoshkar-Ola     Volga Volga-Vyatka 23,200 727,979 1920
13 Mordovia Saransk     Volga Volga-Vyatka 26,200 888,766 1930
14 Sakha (Yakutia) Yakutsk     Mashariki ya Mbali Mashariki ya mbali 3,103,200 949,280 1922
15 Ossetia Kaskazini-Alania Vladikavkaz     Kaukazi Kaskazini Kaukazi Kaskazini 8,000 710,275 1924
16 Tatarstan Kazan     Volga Volga 68,000 3,779,265 1920
17 Tuva Kyzyl     Siberia Siberia Mashariki 170,500 305,510 1944
18 Udmurtia Izhevsk     Volga Ural 42,100 1,570,316 1920
19 Hakasia Abakan     Siberia Siberia Mashariki 61,900 546,072 1930
20 Chechnya Grozniy     Kaukazi Kaskazini Kaukazi Kaskazini 15,300 1,103,686 1991
21 Chuvashia Cheboksary     Volga Volga-Vyatka 18,300 1,313,754 1920
22 Altai Krai Barnaul     Siberia Siberia Magharibi 169,100 2,607,426 1937
75 Zabaykalskiy Krai Chita     Siberia Siberia Mashariki 431,500 1,155,346 2008
41 Kamchatka Krai Petropavlovsk-Kamchatskiy     Mashariki ya Mbali Mashariki ya mbali 472,300 358,801 2007
23 Krasnodar Krai Krasnodar     Kusini Kaukazi Kaskazini 76,000 5,125,221 1937
24 Krasnoyarsk Krai Krasnoyarsk     Siberia Siberia Mashariki 2,339,700 2,966,042 1934
90 Perm Krai Perm     Volga Ural 160,600 2,819,421 2005
25 Primorskiy Krai Vladivostok     Mashariki ya Mbali Mashariki ya mbali 165,900 2,071,210 1938
26 Stavropol Krai Stavropol     Kaukazi Kaskazini Kaukazi Kaskazini 66,500 2,735,139 1934
27 Habarovsk Krai Habarovsk     Mashariki ya Mbali Mashariki ya mbali 788,600 1,436,570 1938
28 Amur Oblast Blagoveshchensk     Mashariki ya Mbali Mashariki ya mbali 363,700 902,844 1932
29 Arhangelsk Oblast Arhangelsk     Kaskazini Magharibi Kaskazini 587,400 1,336,539 1937
30 Astrahan Oblast Astrahan     Kusini Volga 44,100 1,005,276 1943
31 Belgorod Oblast Belgorod     Kati Chernozyomni Kati 27,100 1,511,620 1954
32 Bryansk Oblast Bryansk     Kati Kati 34,900 1,378,941 1944
33 Vladimir Oblast Vladimir     Kati Kati 29,000 1,523,990 1944
34 Volgograd Oblast Volgograd     Kusini Volga 113,900 2,699,223 1937
35 Vologda Oblast Vologda
(Mji mkubwa: Cherepovets)
    Kaskazini Magharibi Kaskazini 145,700 1,269,568 1937
36 Voronezh Oblast Voronezh     Kati Chernozyomni Kati 52,400 2,378,803 1934
37 Ivanovo Oblast Ivanovo     Kati Kati 21,800 1,148,329 1936
38 Irkutsk Oblast Irkutsk     Siberia Siberia Mashariki 767,900 2,581,705 1937
39 Kaliningrad Oblast Kaliningrad     Kaskazini Magharibi

Kaliningrad

15,100 955,281 1946
40 Kaluga Oblast Kaluga     Kati Kati 29,900 1,041,641 1944
42 Kemerovo Oblast Kemerovo
(Mji mkubwa: Novokuznetsk)
    Siberia Siberia Magharibi 95,500 2,899,142 1943
43 Kirov Oblast Kirov     Volga Volga-Vyatka 120,800 1,503,529 1934
44 Kostroma Oblast Kostroma     Kati Kati 60,100 736,641 1944
45 Kurgan Oblast Kurgan     Ural Ural 71,000 1,019,532 1943
46 Kursk Oblast Kursk     Kati Chernozyomni Kati 29,800 1,235,091 1934
47 Leningrad Oblast Mji mkubwa: Gatchina[a]     Kaskazini Magharibi Kaskazini Magharibi 84,500 1,669,205 1927
48 Lipetsk Oblast Lipetsk     Kati Chernozyomni Kati 24,100 1,213,499 1954
49 Magadan Oblast Magadan     Mashariki ya Mbali Mashariki ya mbali 461,400 182,726 1953
50 Moscow Oblast Mji mkubwa: Balashiha[b]     Kati Kati 45,900 6,618,538 1929
51 Murmansk Oblast Murmansk     Kaskazini Magharibi Kaskazini 144,900 892,534 1938
52 Nizhniy Novgorod Oblast Nizhniy Novgorod     Volga Volga-Vyatka 76,900 3,524,028 1936
53 Novgorod Oblast Velikiy Novgorod     Kaskazini Magharibi Kaskazini Magharibi 55,300 694,355 1944
54 Novosibirsk Oblast Novosibirsk     Siberia Siberia Magharibi 178,200 2,692,251 1937
55 Omsk Oblast Omsk     Siberia Siberia Magharibi 139,700 2,079,220 1934
56 Orenburg Oblast Orenburg     Volga Ural 124,000 2,179,551 1934
57 Oryol Oblast Oryol     Kati Kati 24,700 860,262 1937
58 Penza Oblast Penza     Volga Volga 43,200 1,452,941 1939
60 Pskov Oblast Pskov     Kaskazini Magharibi Kaskazini Magharibi 55,300 760,810 1944
61 Rostov Oblast Rostov juu ya Don     Kusini Kaukazi Kaskazini 100,800 4,404,013 1937
62 Ryazan Oblast Ryazan     Kati Kati 39,600 1,227,910 1937
63 Samara Oblast Samara     Volga Volga 53,600 3,239,737 1928
64 Saratov Oblast Saratov     Volga Volga 100,200 2,668,310 1936
65 Sahalin Oblast Yuzhno-Sahalinsk     Mashariki ya Mbali Mashariki ya mbali 87,100 546,695 1947
66 Sverdlovsk Oblast Yekaterinburg     Ural Ural 194,800 4,486,214 1935
67 Smolensk Oblast Smolensk     Kati Kati 49,800 1,049,574 1937
68 Tambov Oblast Tambov     Kati Chernozyomni Kati 34,300 1,178,443 1937
69 Tver Oblast Tver     Kati Kati 84,100 1,471,459 1935
70 Tomsk Oblast Tomsk     Siberia Siberia Magharibi 316,900 1,046,039 1944
71 Tula Oblast Tula     Kati Kati 25,700 1,675,758 1937
72 Tyumen Oblast Tyumen     Ural Siberia Magharibi 1,435,200 3,264,841 1944
73 Ulyanovsk Oblast Ulyanovsk     Volga Volga 37,300 1,382,811 1943
74 Chelyabinsk Oblast Chelyabinsk     Ural Ural 87,900 3,603,339 1934
76 Yaroslavl Oblast Yaroslavl     Kati Kati 36,400 1,367,398 1936
77 Moscow     Kati Kati 2,511 10,382,754
78 Sankt Peterburg     Kaskazini Magharibi Kaskazini Magharibi 1,439 4,662,547
79 Oblast huru ya Kiyahudi Birobijan     Mashariki ya Mbali Mashariki ya mbali 36,000 190,915 1934
83 Okrug Huru wa Nenets Naryan-Mar     Kaskazini Magharibi Kaskazini 176,700 41,546 1929
86 Okrug huru ya Hanty-Mansi Hanty-Mansiysk
(Mji mkubwa: Surgut)
    Ural Siberia Magharibi 523,100 1,432,817 1930
87 Okrug huru ya Chukotka Anadyr     Mashariki ya Mbali Mashariki ya mbali 737,700 53,824 1930
89 Okrug huru ya Yamalo-Nenets Salehard
(Mji mkubwa: Noviy Urengoy)
    Ural Siberia Magharibi 750,300 507,006 1930
82 Krim[c] Simferopol     Krim[5] 26,964[6] 1,966,801[7] 2014
92 Sevastopol[c]     Krim[5] 864[8] 379,200[8] 2014

Marejeo

hariri

a. ^ According to Article 13 of the Charter of Leningrad Oblast, the government bodies of the oblast are located in the city of St. Petersburg. However, St. Petersburg is not officially named to be the administrative center of the oblast.

b. ^ According to Article 24 of the Charter of Moscow Oblast, the government bodies of the oblast are located in the city of Moscow and throughout the territory of Moscow Oblast. However, Moscow is not officially named to be the administrative center of the oblast.

c. ^ Not recognized internationally as a part of Russia.

  1. http://www.constitution.ru/en/10003000-02.htm
  2. Namba za maeneo si mfululizo kamili; kila eneo huwa na namba kufuatana na idadi ya maeneo ya awali. Kutokana na mabadiliko kwa kuunganisha maeneo au kuanzishwa kwa maeneo mapya kuna mapengo.
  3. Федеральная служба государственной статистики (Federal State Statistics Service) (2004-05-21). "Территория, число районов, населённых пунктов и сельских администраций по субъектам Российской Федерации (Territory, Number of Districts, Inhabited Localities, and Rural Administration by Federal Subjects of the Russian Federation)". Всероссийская перепись населения 2002 года (All-Russia Population Census of 2002) (kwa Russian). Federal State Statistics Service. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-12-25. Iliwekwa mnamo 2008-04-18.{{cite web}}: CS1 maint: unrecognized language (link)
  4. Федеральная служба государственной статистики (Federal State Statistics Service) (2004-05-21). "Численность населения России, субъектов Российской Федерации в составе федеральных округов, районов, городских поселений, сельских населённых пунктов – районных центров и сельских населённых пунктов с населением 3 тысячи и более человек (Population of Russia, its federal districts, federal subjects, districts, urban localities, rural localities—administrative centers, and rural localities with population of over 3,000)". Всероссийская перепись населения 2002 года (All-Russia Population Census of 2002) (kwa Russian). Federal State Statistics Service. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-07-08. Iliwekwa mnamo 2008-06-23.{{cite web}}: CS1 maint: unrecognized language (link)
  5. 5.0 5.1 "В России создан Крымский федеральный округ", RBC, March 21, 2014. Retrieved on 2016-04-06. Archived from the original on 2019-01-07. 
  6. "Autonomous Jamhuri ya Crimea". Ministry of Foreign Affairs of Ukraine. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-03-16. Iliwekwa mnamo 2014-03-25.
  7. "Population as of February 1, 2014. Average annual populations January 2014". ukrstat.gov.ua. Iliwekwa mnamo 2015-10-18.
  8. 8.0 8.1 "A General data of the region". Sevastopol City State Administration. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-02-11. Iliwekwa mnamo 2014-04-07. {{cite web}}: Unknown parameter |= ignored (help)