Majadiliano:Bugandika

Latest comment: miaka 15 iliyopita by Muddyb Blast Producer

Tarehe 6, mwezi wa Agosti, mwaka wa 2009, mtu aliandika ifuatayo akifuta maelezo yaliyotangulia:

Bugandika ni jina la kata ya Wilaya ya missenyi katika Mkoa wa Kagera, Tanzania. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2002, kata ina wakazi wapatao 8,475 waishio humo. kata hii inavyo vijiji vipatavyo vitano ambavyo ni KIJUMO, BWOKI, BWEMELA, IGURUGATI, na RUKURUNGO. Katika kata hii kuna kitongoji kimoja ambacho ni kidogo sana kikiwa na wasitani wa familia kumi na kinaitwa BWIKARANYANGE kitongoji hiki ni maarufu sana kwa kuwaa na udogo menye rutuba ya kutosha na chakula cha ziada kila mwaka, vile vile wakazi wa kijiji hiki ujipatia maji kutoka kwenye mto mdogo uitwao katangarara usiokauka kw mwaka mzima na umesifika kwa kutoa maji safi na salama. Hata hivyo wakazi wa kitongoji hiki hawakuishia hapo kwani vile vile wengi wao ni wasomi na ujishughurisha na shughuri za kijamii kama vilekilimo ufugaji na utunzaji wa mazingira. chakula kikuu cha wakazi wa kijiji hiki ni ndizi zilizochanganywa na maharage na kinywaji chao ni pombe aina ya rubisi. kutokana na kuwa na ziada ya chakula kwa miaka yote basi utuimia furusa hiyo kushiriki ktk michezo mbali mbali kama vile football netball nk

by --41.221.37.63 11:20, 6 Agosti 2009 (UTC)OswardReply

Nimerudisha hali ya makala na kuhifadhi habari zake mpya humo. Naomba mtu mwingine athibitishe habari hizo na kuziingiza kwenye makala bila kufuta mambo mengine. Asante! --Baba Tabita (majadiliano) 13:10, 22 Agosti 2009 (UTC)Reply

Habari alizoeleza siyo za msingi saana. Minajua tu wale ndugu zetu wa kule mkoani weshaandika habari zao za kisifa. Umefanya la msingi sana kurejesha ile ya awali.--Muddyb MwanaharakatiLonga 13:37, 22 Agosti 2009 (UTC)Reply
Rudi kwenye ukurasa wa " Bugandika ".