Majadiliano:Kikunde
Latest comment: miaka 15 iliyopita by Kipala in topic Asante mchangiaji!!
Haya ni Majadiliano kwa ajili ya kuboresha makala ya Kikunde. | |||
---|---|---|---|
|
|
Hii ni makala ya Kikunde ipo katika eneo la Wikipedia:Mradi wa Tanzania, juhudi za pamoja katika kuboresha maeneo ya Tanzania kwenye Wikipedia. Iwapo utapenda kushiriki, tafadhali tembelea ukurasa wa mradi, ambapo unaweza kujiunga na majadiliano na utazame orodha ya kazi zilizo wazi. |
Asante mchangiaji!!
haririNimefurahi sana kuona nyongeza. Mwenye kuongeza alikuwa mchangiaji ambaye hajatoa jina lake. Hata hivyo ni tumaini langu ya kwamba wengine watafuata na kutumia nafasi ya makala za mbegu kuhusu mahali mbalimbali nchini! Tuendelee kujenga kamusi hii kwa pamoja! --Kipala (majadiliano) 02:28, 12 Januari 2009 (UTC)