Majadiliano:Kisii

Latest comment: miaka 14 iliyopita by Kipala in topic Bora, lakini!!


Bora, lakini!!

hariri

Makala imeboreshwa kabisa - isipokuwa kigezo pamoja na ramani imepotea! Inaweza kurudishwa na mchangiaji? Pia "virejeleo" havina kazi - futa au boresha! Umbo la jina la makala linafuata mfano wa Kiingereza (Kisii, Kenya) wakati hapa tumejaribu zaidi kufuata mtindo wa "Kisii (Kenya)" - hii inaweza kusuluhishwa kwa kusogeza makala kwenda jina jipya (makala ya kuelekeza iatabaki). --Kipala (majadiliano) 19:37, 9 Januari 2010 (UTC) Asante sana Bw. Kipala. Nimetiwa moyo sana na mchango wako. Nitajaribu kuviboresha virejeleo. Tafadhali nisaidie kuirejesha ramani. Unawezaje kuisogeza makala kwenda jina jipya?Reply

---Samson Maosa (Coolsam726)

Ukifungua historia ya makala (si ya majadiliano) utaona umbo la makala fupi la tarehe 4 Novemba ina ile infobox na ramani; unaweza kuinakili na kuingiza tena; katikati mwenye fujo aliondoa yaliyomo yote kwenye makala maana ulipoanza ukuasa ulikuwepo lakini bila kitu. Ila tu hapa wikipedia hakuna kitu kinachopotea ukienda nyuma katika historia. --Kipala (majadiliano) 18:52, 12 Januari 2010 (UTC)Reply
Rudi kwenye ukurasa wa " Kisii ".