Majadiliano:Rujewa

Latest comment: miaka 7 iliyopita by Kipala in topic Nyongeza

Nyongeza

hariri

Habari za Historia na Uchumi ziliongezwa kwa maneno yafuatayo ambayo hayawezi kubaki ndani ya makala yenyewe kulingana na utaratibu wa kamusi elezo: "Habari hizi ni kulingana na nnavyojua mimi mzawa wa Rujewa Mwl Yassin H.Sanga" (mtumiaji asiyekiandikisha 196.46.120.120). Kipala (majadiliano) 19:26, 14 Machi 2017 (UTC)Reply

Rudi kwenye ukurasa wa " Rujewa ".