Majadiliano:Tanga (mji)

Latest comment: miaka 7 iliyopita by Kipala in topic Asili ya jina

Asili ya jina hariri

Maelezo ya maana ya jina Tanga si sahihi. Maana hakuna asili katika lugha ya Kiajemi(Farsi), hii ni hakika. Mnamo 1913 Uhlig katika Kamusi ya Koloni za Kijerumani alirejelea jina kwa umbo la Kisiwa cha Toten (Kisiwa cha Wafu, cha makaburi) kinachofanana na umbo la tanga la jahazi. Kipala (majadiliano) 20:59, 22 Februari 2017 (UTC)Reply

Return to "Tanga (mji)" page.