Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!

Tunamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo ama kuitafsiri kutoka Wikipedia ya lugha nyingine.

Ukipenda kutumia kurasa zetu za mwongozo na msaada, a) ukitumia simu bofya kwa "Dawati" chini kwenye dirisha lako na b) ubadilishe mwonekano wa Wikipedia kwa kubofya "Switch to old look" kwenye menyu upande wa kushoto.

Kwa mawili matatu labda tazama:

Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wako kwa majaribio. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike tu kwenye ukurasa wako wa mtumiaji. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho, kama si biashara au matusi.

Ujue miiko:

Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!


Welcome to Kiswahili Wikipedia!

We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non-speaker, it is better to first communicate with one of our admins who can advise you. You may find them at Wikipedia:Wakabidhi. And, please:

  • do not post computer translated texts (like Google Translate, Content Translation, etc. all do not work for Swahili)
  • nor copied texts/images from other webs to this site!
  • do not use links to commercial pages, never post anything that looks like advertising.

As a newcomer we advise that you register your email. This will not be visible to others but it allows us to notify you, which often is helpful in case of problems.

--Riccardo Riccioni (majadiliano) 09:45, 19 Februari 2022 (UTC)Reply

Dada, unaendelea kutunga makala kwa Kiswenglish... Usiwe na haraka ya kutunga kurasa nyingi zisizoeleweka. Swahilisha tafsiri ya kompyuta kwanza! Halafu kurasa zako zina majina ya Kiingereza, ndiyo sababu huoni kwamba nyingi zipo tayari. Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 10:37, 19 Machi 2022 (UTC):Reply
Tazama mabadiliko hapa https://sw.wikipedia.org/wiki/Liga_dos_Escuteiros_de_Mozambique na ufuate muongozo wa muonekano kama huu wa sasa, pia fanyia maboresho katika makala hiyo, sehemu ya makala hiyo imefutwa ili kurekebishwa zaid,Amani sana Idd ninga (majadiliano) 14:32, 29 Novemba 2022 (UTC)Reply

Uanzishaji wa Makala iliyo chini ya Uangalizi

hariri

Habri Ndugu @Caroline Mshanga

Hongera kwa kuwa moja ya wahiri katika Wikipedia ya Kiswajili.

Nimegundua umepata shida katika uanzishaji makala iliyo chini ya Uangalizi. Tafadhari fuata maelekezo yafuatayo:

  1. Ingia kwenye akaunti yako ya Wikipedia
  2. Kwenye sanduku la kutafuta (Search box), Adika Mtumiaji:Bupe kibona/Jina la makala (Kumbuka jina la makala ni jina ya makala unayoandika).
  3. Bonyeza tafuta (search)
  4. Kisha tengeneza makala

Kama ukikwamba usisite kunijuza ili kupata mafunzi/msaada zaidi.

Amani kwako.MagoTech Tanzania (majadiliano) 23:20, 12 Machi 2023 (UTC)Reply