Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!

Tunamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo ama kuitafsiri kutoka Wikipedia ya lugha nyingine.

Ukipenda kutumia kurasa zetu za mwongozo na msaada, a) ukitumia simu bofya kwa "Dawati" chini kwenye dirisha lako na n) ubadilishe mwonekano wa Wikipedia kwa kubofya "Switch to old look" kwenye menyu upande wa kushoto.

Kwa mawili matatu labda tazama:

Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wako kwa majaribio. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike tu kwenye ukurasa wako wa mtumiaji. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho, kama si biashara au matusi.

Ujue miiko:

Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!


Welcome to Kiswahili Wikipedia!

We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non-speaker, it is better to first communicate with one of our admins who can advise you. You may find them at Wikipedia:Wakabidhi. And, please:

  • do not post computer translated texts (like Google Translate, Content Translation, etc. all do not work for Swahili)
  • nor copied texts/images from other webs to this site!
  • do not use links to commercial pages, never post anything that looks like advertising.

As a newcomer we advise that you register your email. This will not be visible to others but it allows us to notify you, which often is helpful in case of problems.

--Baba Tabita (majadiliano) 17:39, 23 Agosti 2014 (UTC)Reply

Makala hii haiwezi kubaki jinsi ilivyo

  1. Kwanza makala zote zinazoanza kwa "wikipedia:..." ziko kwa ajili ya maada maalumu ya wikipedia pekee.
  2. Pili inaonekana hapa kuna mtu anayeandika juu yake mwenyewe. Hii si kawaida ingawa si marufuku. Lakini mimi sieweli huyu ndugu amefanya nini ili awe na makala katika kamusi elezo. Maelezo juu yake ni za juu juu hayaelezi umaarufu wowote.
  3. Tatu kama wenzangu wangekubali makala hii ibaki kimsingi haiwezi kukaa kwa jina hili. Haieleweki, makala juu ya mtu iwe chini ya jina la mtu.

Nitaiweka kwa majadiliano kwenye orodha ya Wikipedia:Makala kwa ufutaji‎ Kipala (majadiliano) 13:29, 20 Juni 2014 (UTC)Reply

Futa! Kwa nguvu zote!--MwanaharakatiLonga 06:48, 31 Julai 2014 (UTC)Reply

aina za kurasa hariri

Ndugu Mwageni, uko huru kuhariri kurasa zako, ila lazima utumie aina za "Mtumiaji:Cyprian Benedict Mwagen/..." na "Majadiliano ya mtumiaji:Cyprian Benedict Mwagen". Nje ya hapo ufuate kanuni za kuhariri kurasa za wikipedia. Usipofuata kanuni hizo bali ukiendelea kutumia aina za "Wikipedia:..." kwa ajili ya habari zako, sisi wakabidhi wa wikipedia ya Kiswahili hatuna budi ila tukuzuie kuingiza uharabu. Wasalaam, --Baba Tabita (majadiliano) 17:40, 23 Agosti 2014 (UTC)Reply