Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!

Tunamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo ama kuitafsiri kutoka Wikipedia ya lugha nyingine.

Ukipenda kutumia kurasa zetu za mwongozo na msaada, a) ukitumia simu bofya kwa "Dawati" chini kwenye dirisha lako na b) ubadilishe mwonekano wa Wikipedia kwa kubofya "Switch to old look" kwenye menyu upande wa kushoto.

Kwa mawili matatu labda tazama:

Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wako kwa majaribio. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike tu kwenye ukurasa wako wa mtumiaji. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho, kama si biashara au matusi.

Ujue miiko:

Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!


Welcome to Kiswahili Wikipedia!

We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non-speaker, it is better to first communicate with one of our admins who can advise you. You may find them at Wikipedia:Wakabidhi. And, please:

  • do not post computer translated texts (like Google Translate, Content Translation, etc. all do not work for Swahili)
  • nor copied texts/images from other webs to this site!
  • do not use links to commercial pages, never post anything that looks like advertising.

As a newcomer we advise that you register your email. This will not be visible to others but it allows us to notify you, which often is helpful in case of problems.

Idd ninga (majadiliano) 23:21, 7 Aprili 2021 (UTC)Reply

Ndugu, kamusi ipi inasema "discografia"? --Riccardo Riccioni (majadiliano) 15:00, 23 Aprili 2021 (UTC)Reply

Riccardo Riccioni huku Kenya twatumia Discografia. Japo ni utohozi, it still retains the original form discography. Hata hivyo, iwapo neno hilo lina k, sina neno kaka. NakuPenda 11:21, 24 Aprili 2021 (UTC)Reply

Asante kwa jibu lako. Kitu kikubwa katika Wiki ya Kiswahili, ukiona mwingine amebadilisha maandishi yako, usiyarudishe bila kujadiliana naye kwanza. Hatujazoea vita vya uhariri. Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 06:02, 24 Aprili 2021 (UTC)Reply
Nashukuru. NakuPenda 11:21, 24 Aprili 2021 (UTC)Reply

Habari, ukipenda unaweza kuwezesha "Email this user" ukiingia katika settings za akaunti ya Wikipedia. Anwani yako haitaonekana, lakini kila mwanawikipedia anaweza kukuandikia kupitia seva ya wikipedia. Kipala (majadiliano) 11:09, 7 Mei 2021 (UTC)Reply

Sawa, asante. NakuPenda 12:12, 7 Mei 2021 (UTC)Reply