Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!

Tunamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo ama kuitafsiri kutoka Wikipedia ya lugha nyingine.

Ukipenda kutumia kurasa zetu za mwongozo na msaada, a) ukitumia simu bofya kwa "Dawati" chini kwenye dirisha lako na n) ubadilishe mwonekano wa Wikipedia kwa kubofya "Switch to old look" kwenye menyu upande wa kushoto.

Kwa mawili matatu labda tazama:

Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wako kwa majaribio. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike tu kwenye ukurasa wako wa mtumiaji. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho, kama si biashara au matusi.

Ujue miiko:

Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!


Welcome to Kiswahili Wikipedia!

We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non-speaker, it is better to first communicate with one of our admins who can advise you. You may find them at Wikipedia:Wakabidhi. And, please:

  • do not post computer translated texts (like Google Translate, Content Translation, etc. all do not work for Swahili)
  • nor copied texts/images from other webs to this site!
  • do not use links to commercial pages, never post anything that looks like advertising.

As a newcomer we advise that you register your email. This will not be visible to others but it allows us to notify you, which often is helpful in case of problems.

Ila uelewe Wikipedia si mahali pa kujinadi. Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 10:54, 20 Mei 2020 (UTC)Reply

What about pictures !? hariri

Thank you Melody Mbassa (majadiliano) 20:12, 22 Mei 2020 (UTC)Reply

Kufuta Ukurasa Wa Melody Mbassa hariri

Nimependekeza ufutaji wa Ukurasa wa Melody Mbassa kwa sababu 1. Hauna vyanzo 2. Umeandika ukurasa wako mwenyewe

Beautiful voice hariri

Musician from Tanzania Melody Mbassa (majadiliano) 20:04, 31 Mei 2021 (UTC)Reply

Sio sawa kufuta ukurasa wangu hariri

Ujinga mliofanya !! Hii ni elezo huru kila MTU anaweza kuweka Maelezo yake hapo Melody Mbassa (majadiliano) 20:10, 31 Mei 2021 (UTC)Reply

unaruhusiwa kuandika chochote katika ukurasa wako wa mtumiaji na sio kuanzisha ukurasa wako ukijinadi katika kurasa za wiki. Amani kwako!!Czeus25 Masele (majadiliano) 08:21, 1 Juni 2021 (UTC)Reply
Dada naombe tuelewane. Ulipojiandikisha hapa ulikuta salamu zetu chini ya kichwa "Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!" Katika salamu hiyo uliombwa kuangalia machache. Kama umefungua sehemu ya kwanza "Kuhusu ukurasa wako wa mtumiaji na kurasa nyingine" uliweza kukuta sentensi hizo: "Ukurasa wa mtumiaji ni ukurasa wako. Humo uko huru kuandika juu yako mwenyewe unavyopenda. Kanuni ni tofauti katika kurasa za kawaida yaani kurasa za kamusi (kwa Kiingereza: Article space). Humo ni marufuku kuandika juu yako mwenyewe."
Kwa hiyo ni kweli KAMA ungetumia ukurasa wako wa mtumiaji ungeweza kuweka maelezo hayo yote bila matatizo. Lakini ulichagua kuyapeleka kwenye kurasa za kamusi. Hapo unaona katika maelezo ni marufuku. Mimi siwezi kufanya vile na wewe huwezi.
Sijui labda ulikosea tu na hukutaka kuunda makala. Basi sema tu, tutafurahi kukusaidia kupeleka matini iliyofutwa kwenye user space yako. Kipala (majadiliano) 09:31, 1 Juni 2021 (UTC)Reply