Ukristo wa Mashariki
Ukristo wa Mashariki ni jina linalojumlisha madhehebu yote ya Ukristo yaliyotokea upande wa mashariki wa Bahari ya Kati na nje ya Dola la Roma yakiwa na mielekeo tofauti na ile ya Kanisa la Magharibi, ambalo ndilo aina ya Ukristo iliyoenea zaidi duniani pamoja na ustaarabu wa magharibi ulioathiriwa nayo.
Unajumlisha hasa makanisa ya Waorthodoksi wa Mashariki na Waorthodoksi, ambayo yalitengana na Kanisa la Magharibi hasa katika karne ya 5 na karne ya 11, lakini pia Makanisa Katoliki ya Mashariki ambayo yana ushirika kamili na Papa na Kanisa Katoliki lote.
Makanisa hayo yanatofautiana sana kwa sababu toka mwanzo yalizingatia utamadunisho wa imani katika jamii husika. Hata hivyo yana sifa nyingi za pamoja katika teolojia, liturujia, maisha ya Kiroho, sheria n.k.
Kwa sasa wanajumuisha waamini milioni 300 hivi duniani kote.
Yale makubwa zaidi ni Kanisa la Kiorthodoksi la Kirusi na Kanisa la Kiorthodoksi la Ethiopia.
Marejeo
hariri- Angold, Michael, mhr. (2006). The Cambridge History of Christianity. Juz. la Volume 5, Eastern Christianity. Cambridge University Press. ISBN 978-0-521-81113-2.
{{cite book}}
:|volume=
has extra text (help) - Julius Assfalg (ed.), Kleines Wörterbuch des christlichen Orients , Wiesbaden 1975
- Jenkins, Philip (2008). The Lost History Of Christianity. New York: HarperCollins. ISBN 978-0-06-147281-7.
Viungo vya nje
hariri- Eastern Christian Churches Archived 5 Desemba 2009 at the Wayback Machine.
- Eastern Catholics Archived 4 Februari 2012 at the Wayback Machine. Information concerning Christians of Eastern rites who are in communion with, and under the jurisdiction of, the Pope, the Bishop of Rome.
- A site advocating unity between Eastern and Oriental Orthodox Christians.
- Eastern Christian Bible Resources - contains Lamsa Bible and more Archived 28 Oktoba 2007 at the Wayback Machine.
- Byzantine Chant Studies Page
- The Greek Orthodox Church in Canada Archived 5 Novemba 2019 at the Wayback Machine.
- Christos Jonathan Hayward, Eastern Orthodox author and theologian
- Syro Malankara Catholic Church, International Homepage Archived 25 Julai 2008 at the Wayback Machine.—Eastern Syrian Church in India
- Reportage on Eastern Churches, by Enrico Martino
- OrthodoxWiki
- Prologue from Ohrid - (Saints of the Orthodox Church) Archived 1 Agosti 2010 at the Wayback Machine.
- Orthodox Church Fathers
- Eastern Rites: A family tree Archived 12 Agosti 2020 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ukristo wa Mashariki kama historia yake, matokeo au athari zake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |