Makari wa Mull
Makari wa Mull (pia: Machar; aliishi karne ya 6) alikuwa mmonaki askofu mmisionari kutoka Ireland aliyeeneza Ukristo kati ya Wapikti wa Uskoti[1] alikokwenda kwa kumfuata Kolumba.
Hasa anakumbukwa katika kisiwa cha Mull na mjini Aberdeen [2].
Anaheshimiwa na madhehebu mbalimbali kama mtakatifu.
Sikukuu yake ni tarehe 12 Novemba[3].
Tazama pia
haririTanbihi
haririViungo vya nje
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |