Kolumba (anajulikana pia kama Colum Cille, Colm Cille, Calum Cille, Colum Keeilley, Kolban na Kolbjørn, maana yake "Njiwa wa Kanisa"; 7 Desemba 5219 Juni 597) alikuwa mmonaki mmisionari kutoka Ireland aliyeeneza Ukristo kati ya Wapikti wa Scotland na anahesabiwa kati ya Mitume kumi na wawili wa Ireland.

Mtume wa Wapikti.

Anaheshimiwa na madhehebu mbalimbali kama mtakatifu.

Sikukuu yake ni tarehe ya kifo chake, 9 Juni[1].

Sala yakeEdit

Peke yangu, pasipo yeyote mbali nawe, Mungu wangu, nasafiri katika njia yangu.

Niogope nini, ukiwa karibu nami, mtawala usiku na mchana?

Katika mkono wako niko salama kuliko kama ningezungukwa na jeshi kunilinda.

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

MarejeoEdit

Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.